Kuanzia Mei 27 hadi 28, Kongamano la 2022 la Ushirikiano na Maendeleo ya Kikanda kati ya China, Japani na Korea Kusini lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing (BFSU) limefanyika kwenye mtandao. Kaulimbiu ya kongamano hilo ni "Ushirikiano kati ya China, Japani, Korea Kusini na Asia Mashariki chini ya Ujumuishaji wa Kiuchumi wa Kikanda". Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yan...
Mnamo Mei 13, Kongamano la Mageuzi na Maendeleo ya Elimu ya Msingi ya Lugha za Kigeni lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing(BFSU) na Shirika la Ufundishaji na Utafiti wa Lugha za Kigeni(FLTRP) limezinduliwa.Mjumbe wa kudumu wa CCPCC Bw. Zhu Yongxin, Mkuu wa Idara ya Elimu ya Msingi ya Wizara ya Elimu Bw. Lv Yugang na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Wang ...
Mnamo Aprili 29, 2022, uzinduzi wa Jumuiya ya Utafiti wa Maeneo ya Kimataifa(CCAS) umefanyika katika BFSU.Jumuiya ya Utafiti wa Maeneo ya Kimataifa imeanzishwa na Muungano wa Vyuo Vikuu vya Lugha za Kigeni vya Duniani(GAFSU), ambayo ni mtandao wa kitaaluma unaojumuisha wasomi wa lugha zaidi ya 100 kutoka nchi 181.Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan ametoa hotuba ya ukaribisho na kuelez...
Tarehe 19 Aprili, mkutano wa kutoa tuzo kwa kazi za Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi na Michezo ya Olimpiki ya Walemavu umefanyika katika Jumba la Makumbusho la Shougang.Timu ya wanaojitolea ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya BFSU na Kituo cha Huduma za Lugha Mbalimbali cha Beijing zimepata tuzo ya “Kundi Bora katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi na Michezo ya Olim...
Mnamo Aprili 1, mkutano wa nane wa Chama cha Tafsiri na Ukalimani cha China (TAC) umefanyika Beijing. Naibu Katibu Mkuu wa Idara ya Uenezi ya CPC Bw. Lv Yansong, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kimataifa ya Watafsiri Bw. Kevin Quarkna viongozi wengine wametoa hotuba katika hafla ya ufunguzi. Baraza jipya la uongozi limechaguliwa, na makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Sun Youzhong amechaguliwa k...
Kuanzia Machi 19 hadi 20, Kongamano la 6 la Kitaifa la Mageuzi na Maendeleo ya Elimu ya Lugha za Kigeni katika Vyuo Vikuu limefanyika katika FLTRP. Kaulimbiu ya kongamano hilo ni "Kuielewa China, Kuunganisha Dunia".Naibu Mkurugenzi wa Ofisi ya Mawasiliano ya Kimataifa ya Idara ya Uenezi ya CPC, Bw. Chen Xueliang, Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Elimu ya Juu ya Wizara ya Elimu, Bw.Wu Shixing, Baloz...
Hivi majuzi, Wizara ya Elimu imetangaza orodha ya kwanza ya ofisi za kidijitali za ufundishaji na utafiti. Jumla ya ofisi 439 za kidijitali zimeingia katika orodha hiyo zikiwemo ofisi 5 za kidijitali za BFSU. Miongoni mwao, ofisi mbili zitashughulikia ufundishaji wa mitalaa na tatu zitajikita katika mageuzi ya ufundishaji.
Mnamo Februari 23, mkutano wa kuandalia mipango ya kazi ya muhula wa spring wa 2022 umefanyika hapa chuoni. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua, Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan na viongozi wengine wamehudhuria mkutano huo.Kwa kuzingatia hali ya sasa ya kimataifa na ya ndani, Prof. Wang Dinghua ametoawito wa kutathmini fursa za maendeleo ya BFSU na kutoa mipango mipy...
Mnamo Februari 14, Wizara ya Elimu, Wizara ya Fedha na Tume ya Maendeleo na Mageuzi ya Taifa zimetoa "Mapendekezo juu ya Kukuza Zaidi Ujenzi wa Vyuo Vikuu vya Hali ya Juu"kwa pamoja, na kutangaza orodha mpya ya ujenzi wa vyuo vikuu. Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing kimeingia tena katika orodha hiyoya awamu ya pili.