Wanafunzi |
5,700+ Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza |
3,900+ Wanafunzi wa Shahada za Uzamili na Uzamivu |
1,300+ Wanafunzi Wageni |
Walimu |
1,300+ Walimu na Wafanyakazi |
Wataalamu karibu 200 kutoka nchi 65 |
Ufundishaji |
121 Programu za Shahada ya Kwanza |
47 Programu pekee nchini China |
101 Lugha zinazosomeshwa |
4 Mitalaa muhimu ya Kitaifa |
7 Mitalaa muhimu ya Manispaa ya Beijing |
2 Programu za Shahada ya Uzamivu |
11 Programu za Shahada ya Uzamili |
8 Programu za Shahada ya Uzamili (Taaluma) |
Research |
1 Kituo Muhimu cha Utafiti wa Sayansi za Jamii cha Wizara ya Elimu |
1 Maabara ya Falsafa na Sayansi za Jamii ya Wizara ya Elimu |
1 Kituo cha Utafiti cha Baraza la Lugha la Taifa |
4 Vituo vya Utafiti wa Kanda na Nchi vya Wizara ya Elimu |
37 Taasisi za Utafiti wa Kanda na Nchi |
3 Vituo vya Utafiti wa Mawasiliano ya Watu na Watu vya Wizara ya Elimu |
4 Majarida ya CSSCI |
Mawasiliano na Ushirikiano wa Kimataifa |
23 Taasisi za Confucius Duniani |
299 Vyuo vikuu na Taasisi zenye ushirikiano na BFSU |
Kampasi |
Milioni 1.57 Vitabu vinavyohifadhiwa katika Maktaba ya BFSU |