Tarehe 10 Desemba, Balozi wa Finland nchini China Bw. Mikko Kinnunen ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Jia Wenjian amekutana na wageni. Wamezungumzia kuendeleza ushirikiano wa utafiti na mawasiliano ya walimu na wanafunzi.