Kuanzia Machi 19 hadi 20, Kongamano la 6 la Kitaifa la Mageuzi na Maendeleo ya Elimu ya Lugha za Kigeni katika Vyuo Vikuu limefanyika katika FLTRP. Kaulimbiu ya kongamano hilo ni "Kuielewa China, Kuunganisha Dunia".Naibu Mkurugenzi wa Ofisi ya Mawasiliano ya Kimataifa ya Idara ya Uenezi ya CPC, Bw. Chen Xueliang, Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Elimu ya Juu ya Wizara ya Elimu, Bw.Wu Shixing, Baloz...
Hivi majuzi, Wizara ya Elimu imetangaza orodha ya kwanza ya ofisi za kidijitali za ufundishaji na utafiti. Jumla ya ofisi 439 za kidijitali zimeingia katika orodha hiyo zikiwemo ofisi 5 za kidijitali za BFSU. Miongoni mwao, ofisi mbili zitashughulikia ufundishaji wa mitalaa na tatu zitajikita katika mageuzi ya ufundishaji.
Mnamo Februari 23, mkutano wa kuandalia mipango ya kazi ya muhula wa spring wa 2022 umefanyika hapa chuoni. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua, Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan na viongozi wengine wamehudhuria mkutano huo.Kwa kuzingatia hali ya sasa ya kimataifa na ya ndani, Prof. Wang Dinghua ametoawito wa kutathmini fursa za maendeleo ya BFSU na kutoa mipango mipy...
Mnamo Februari 14, Wizara ya Elimu, Wizara ya Fedha na Tume ya Maendeleo na Mageuzi ya Taifa zimetoa "Mapendekezo juu ya Kukuza Zaidi Ujenzi wa Vyuo Vikuu vya Hali ya Juu"kwa pamoja, na kutangaza orodha mpya ya ujenzi wa vyuo vikuu. Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing kimeingia tena katika orodha hiyoya awamu ya pili.
Feb.18, 2022, Beijing. Shannon Abeda mwenye umri wa miaka 25 ni mchezaji wa kuteleza theluji kwenye mlima kutoka Afrika katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing. Naye pia ni mmojawapo kati ya wachezaji 6 wa bara la Afrika kwenye michezo hiyo. Amemaliza mashindano yake kwa nafasi ya 39 ambayo haina nafasi ya kutwaa medali, lakini ameinua nafasi yake zaidi ya 20 kuliko nafasi i...
Februari 10 ni siku ya kwanza ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China. Gao Xiaofan alipomaliza kazi yake ilikuwa saa kumi na mbili alfajiri. Siku hiyo ni siku yake ya kuzaliwa pia, lakini haikuwa tofauti na siku nyingine tangu alipokuwa msaidizi wa Ujumbe wa Ukraine kama mtu anayejitolea kutoka Chuo Kikuu cha BFSU. Yeye ni mmojawapo wa wanafunzi wanaojitolea 900 kutoka chuo hiki.“Hapa kila mtu ni saw...
BEIJING. Februari 9, katika mkutano na waandishi wa habari uliofanywa na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) na Kamati ya Maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing, Bw. Li Sen, mkurugenzi wa idara ya mipango, ameeleza hatua za kuchukuliwa kwa kuandaa “Michezo ya Olimpiki ya Kijani” akitumia dhana za “usimamizi wa kaboni za chini” na “hifadhi ya mazingira”.Safari h...
BEIJING. Februari 7, Mchezaji wa China Gu Ailing (Eileen) ameonekana katika jukwaa la utelezaji theluji wa freestyle akiwa amevaa vazi lenye mchoro wa joka la dhahabu. Jukwaa hilo limejengwa kwenye mahali ambapo palikuwa Kiwanda cha Chuma na Chuma cha Pua cha Beijing. Msichana huyu mwenye umri wa miaka 18 ameanza kuiwakilisha China-nchi ya asili kwa upande wa mama-kushiriki mashindano ya kimata...
Feb.6 Tianshan News/Xinjiang Leo, Urumqi. Majira ya saa 10 kasorobo mchana, Februari 5, Dinigeer Yilamujiang na mwenzake Bayani Jalin wameonekana kwenye mbuga ya kuteleza kwenye theluji. Hii ni mara ya kwanza ya kuwakuta wachezaji wanaotoka wilaya ya Altay ya mkoa wa Xinjiang ambapo ni chimbuko la utelezaji theluji wa binadamu katika historia ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi.Usiku wa...