Kuanzia tarehe 5 hadi 6 Januari, 2023, Rais wa Turkmenistan Serdar Berdimuhamedov amefanya ziara nchini China kwa mwaliko wa Rais wa China Xi Jinping. Mkataba wa ushirikiano kati ya BFSU na Chuo Kikuu cha Makhtumkuli umejumuishwa katika orodha ya mafanikio ya ziara ya Rais wa Turkmenistan nchini China.Januari 6, Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Makhtumkuli ...
Tarehe 18 Desemba, Kongamano la Jumuiya ya Taaluma ya Nchi na Maeneo ya Kimataifa la 2022(CCAS) lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing limefanyika kwenye mtandao. Kaulimbiu ya kongamano hilo ni “Ujumuishi, Ushirikiano na Maendeleo Endelevu ya Ulimwengu".Jumuiya ya Taaluma ya Nchi na Maeneo ya Kimataifa (CCAS) ni mtandao wa kitaaluma ulioanzishwa na Shirikisho la Kimataifa...
Tarehe 8 Desemba, Mkutano wa Kimataifa wa Elimu ya Kichina umefanyika Beijing. Naibu Waziri Mkuu wa China Sun Chunlan amehudhuria ufunguzi na kutoa hotuba. Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan ameshiriki kwenye ufunguzi wa mkutano huo na kutoa hotuba kwenye "Kongamano la Kwanza la Mawasiliano na Ushirikiano kati ya Lugha za Kigeni na Lugha ya Kichina" ambalo ni mojawapo ya makongamano s...
Kuanzia tarehe 26 hadi 27 Novemba, Kongamano la Kwanza la Kitaifa la Utafiti wa Vitabu vya Kiada vya Lugha za Kigeni limefunguliwa kwenye mtandao. Kaulimbiu ya kongamno hilo ni "Utafiti wa Vitabu vya Kiada vya Lugha za Kigeni: Upeo wa Ulimwengu na Uvumbuzi wa Kienyeji". Takriban wataalamu na wasomi 10,000 wanaoshughulikia elimu ya lugha za kigeni wamehudhuria kongamano hilo. Naibu Mkurugenzi wa...
Mnamo tarehe 10 Novemba, 2022, Kongamano la Kimataifa la Uenezi wa Utamaduni wa Kichina la 2022 lililoandaliwa na Kituo cha Uenezi wa Utamaduni cha Shirika la Uchapishaji la Lugha za Kigeni la China, Taasisi ya Uenezi wa Kimataifa wa Utamaduni wa Kichina ya BFSU, na Kituo cha Utafiti wa Ustaarabu wa China limefunguliwa katika BFSU.Mkuu wa Shirika la Uchapishaji wa Lugha za Kigeni la China Bw. D...
Jumuiya ya Taaluma ya Utafiti wa Nchi na Maeneo ya China imezinduliwa katika BFSU mnamo tarehe 23 Oktoba 2022.Taaluma ya Utafiti wa Nchi na Maeneo nitaaluma mpyainayojumuisha fanimbalimbali.BFSU na vyuo vikuu vingi kote nchini vimependekeza kuanzisha“Jumuiya ya Taaluma Utafiti wa Nchi na Maeneo”ili kusukuma mbele ujenzi na maendeleo yataaluma hiyo, na kujenga mfumo kamili wa elimu wenye sifa ...
Mnamo 2022, Ofisi ya Kitaifa ya Mipango ya Falsafa na Sayansi ya Kijamii imetangaza kuwa miradi kadhaa ya NSSFC ya BFSU imekamilika kwa ufanisi. Miongoni mwao, miradi mitatu muhimu ambayo imepata tuzo ya “miradi bora” ni mradi uliosimamiwa na Makamu Mkuu wa BFSU Prof. Sun Youzhong, "Ufafanuzi na Utafiti wa Matumizi ya ‘Vigezo vya Kitaifa vya Ubora wa Ufundishaji wa Lugha za Kigeni katika Vy...
Mnamo tarehe 25 Septemba, tovuti za lugha mbalimbali za Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing (BFSU) zimeboreshwa, na tovuti 6 za lugha za kigeni zikiwemo Kiarabu, Kifaransa, Kirusi, Kihispania, Kijerumani, na Kijapani zimezinduliwa rasmi.Anwani za Tovuti Mpya za Lugha mbalimbali:Kiingereza:http://en.bfsu.edu.cn/Kiarabu:https://global.bfsu.edu.cn/ar/Kifaransa:https://global.bfsu.edu.cn/...
Hivi karibuni, Idara ya Kitaifa ya Utamaduni na Elimu ya nchi za "Ukanda Mmoja na Njia Moja" imechapisha vitabu 20 kwa ujumla ikiwa ni pamoja na "Utafiti wa Utamaduni na Elimu wa India", "Utafiti wa Utamaduni na Elimu wa Iran", "Utafiti wa Utamaduni na Elimu wa Cuba" na "Utafiti wa Utamaduni na Elimu wa Kenya". Maudhui ya vitabu hivi yanajumuisha hali ya kitaifa, mila za kitamaduni, historia ya...