CHUO KIKUU CHA LUGHA

ZA KIGENI, BEIJING

Programu za Shahada ya Kwanza

2019年04月15日


Na.

Kozi

Na.

Kozi

1 Kiingereza 40 Kiajemi
2 Kirusi 41 Kihindi
3 Kifaransa 42 Kiurdu
4 Kijerumani 43 Kifilipino
5 Kijapani 44 Kislovenia
6 Kihispania 45 Kiestonia
7 Kireno 46 Kilatvia
8 Kiarabu 47 Kilithuania
9 Kiitalia 48 Kiirish
10 Kiswidi 49 Kimalta
11 Kikambodia 50 Kibengali
12 Kivietnam 51 Kikazakh
13 Kilao 52 Kiuzbeki
14 Kimyanmar 53 Kizulu
15 Kithai 54 Kilatini
16 Kiindonesia 55 Kikirgizi
17 Kimalay 56 Kipashto
18 Kisinhala 57 Kiamhara
19 Kituruki 58 Kisanskrit Na Kipali
20 Kikorea 59 Kisomali
21 Kiswahili 60 Kinepali
22 Kihausa 61 Kitamili
23 Kipolish 62 Kiturkmen
24 Kicheki 63 Kikatalonia
25 Kihungaria 64 Kiyoruba
26 Kiromania 65 Tafsiri Na Ukalimani
27 Kibulgaria 66 Biashara Ya Kimataifa
28 Kislovakia 67 Fedha
29 Kiserbia 68 Biashara Ya Mtandao
30 Kikroatia 69 Uongozi Wa Biashara
31 Kialbania 70 Menejimenti Ya Mfumo Wa Habari
32 Kifini 71 Uhasibu
33 Kiukrainia 72 Diplomasia
34 Kiholanzi 73 Uandishi Wa Habari
35 Kinorwei 74 Sheria
36 Kidanish 75 Kichina Kwa Wageni
37 Kiiceland 76 Lugha Na Fasihi Ya Kichina
38 Kigiriki 77 Sayansi Ya Kompyuta
39 Kiebrania 78 Siasa Na Utawala

Kidokezo: Kisanskrit na Kipali ni lugha mbili; kadhalika kozi za Kimongolia na Kiarmenia zimefunguliwa, kwa jumla lugha 67 zinafundishwa kwa sasa.




No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

OFFICE FOR INTERNATIONAL EXCHANGE AND COOPERATION

OFFICE OF CONFUCIUS INSTITUTES

OFFICE FOR OVERSEAS STUDENTS AFFAIRS

GENERAL ADMINISTRATION OFFICE

Copyright@BFSU.Support by ITC