Mwanzo > Habari > Content

Video za "China Machoni mwa Wanafunzi Wageni wa BFSU"

Updated: 2025-11-18

Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing(BFSU) kimeandaa video fupi zinazoonesha maendeleo ya China katika Zama Mpya. Video hizi zinafuatilia masuala ya uhalisia na usasa kama vile malipo kwa njia ya simu, huduma ya kidijitali ya vyakula, ustawishaji wa vijijini, mawasiliano ya kitamaduni, huduma ya upelekaji wa vyakula, baiskeli za umma n.k. Lugha za video hizo ni pamoja na Kichina, Kiingereza, Kirusi, Kifaransa, Kijapani, Kikorea na kadhalika.

I

 

II

 

III

IV

V

VI