HOME > Kuhusu BFSU > Mandhari ya Chuo
Student Life

Maktaba

Maktaba ya chuo chetu kinahifadhi vitabu vya lugha 74 zikiwemo Kichina, Kiingereza, Kifaransa, Kirusi, Kijerumani, Kihispania, Kijapani, Kiarabu n.k.

Student Life

Maisha ya Wanafunzi

Katika chuo chetu utaweza kwenda kusoma kwenye maktaba au kufanya mazoezi ya viungo kwenye gym.

Student Life

Shughuli za Wanafunzi

Kuna shughuli mbalimbali za kitaaluma, kiutamaduni au burudani ambazo zinawapatia wanafunzi nafasi nyingi za kujionyesha umahiri wao.