Tarehe 12 Desemba, Balozi wa New Zealand nchini China Bw. Jonathan Austin ametemelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Bw. Li Hai amekutana na wageni. Wamezungumzia mawasiliano ya walimu na wanafunzi, utafiti wa pamoja, ujenzi wa kozi za Kimaori na lugha nyingine za Kusini mwa Pasifiki.
