Jumuiya ya Taaluma ya Utafiti wa Nchi na Maeneo ya China imezinduliwa katika BFSU mnamo tarehe 23 Oktoba 2022.Taaluma ya Utafiti wa Nchi na Maeneo nitaaluma mpyainayojumuisha fanimbalimbali.BFSU na vyuo vikuu vingi kote nchini vimependekeza kuanzisha“Jumuiya ya Taaluma Utafiti wa Nchi na Maeneo”ili kusukuma mbele ujenzi na maendeleo yataaluma hiyo, na kujenga mfumo kamili wa elimu wenye sifa ...
Mnamo 2022, Ofisi ya Kitaifa ya Mipango ya Falsafa na Sayansi ya Kijamii imetangaza kuwa miradi kadhaa ya NSSFC ya BFSU imekamilika kwa ufanisi. Miongoni mwao, miradi mitatu muhimu ambayo imepata tuzo ya “miradi bora” ni mradi uliosimamiwa na Makamu Mkuu wa BFSU Prof. Sun Youzhong, "Ufafanuzi na Utafiti wa Matumizi ya ‘Vigezo vya Kitaifa vya Ubora wa Ufundishaji wa Lugha za Kigeni katika Vy...
Mnamo tarehe 25 Septemba, tovuti za lugha mbalimbali za Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing (BFSU) zimeboreshwa, na tovuti 6 za lugha za kigeni zikiwemo Kiarabu, Kifaransa, Kirusi, Kihispania, Kijerumani, na Kijapani zimezinduliwa rasmi.Anwani za Tovuti Mpya za Lugha mbalimbali:Kiingereza:http://en.bfsu.edu.cn/Kiarabu:https://global.bfsu.edu.cn/ar/Kifaransa:https://global.bfsu.edu.cn/...
Hivi karibuni, Idara ya Kitaifa ya Utamaduni na Elimu ya nchi za "Ukanda Mmoja na Njia Moja" imechapisha vitabu 20 kwa ujumla ikiwa ni pamoja na "Utafiti wa Utamaduni na Elimu wa India", "Utafiti wa Utamaduni na Elimu wa Iran", "Utafiti wa Utamaduni na Elimu wa Cuba" na "Utafiti wa Utamaduni na Elimu wa Kenya". Maudhui ya vitabu hivi yanajumuisha hali ya kitaifa, mila za kitamaduni, historia ya...
Mnamo tarehe 14 Septemba, Kongamano la Wakuu wa Taasisi za Confucius lililoandaliwa na Wakfu wa Elimu ya Kichina ya Kimataifa (CIEF), Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing (BFSU) na Shirika la Uchapishaji wa Ufundishaji na Utafiti wa Lugha za Kigeni (FLTRP) limefunguliwa kwenye mtandao. Katibu Mkuu wa CIEF Bw. Zhao Lingshan, Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan, Makamu Mkuu wa BFSU P...
Tarehe 26 Agosti,toleo la kwanza la Kiingereza la “Ukonfusia wa Kimataifa” lililoandaliwa na Shirikisho la Ukonfusia wa Kimataifa(ICA) na Shirika la Uchapishaji wa Ufundishaji na Utafiti wa Lugha za Kigeni (FLTRP) limezinduliwa katika BFSU. Mkuu wa ICA Bi. Liu Yandong ametoa pongezi kwa tukio hilo.Makamu Mkuu wa ICA Bw. Chen Lai, Katibu Mkuu wa ICA Bw. Jia Deyong, Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU...
Mnamo tarehe 1 Agosti, Kambi ya Majira ya Joto ya “Uzuri wa Utamaduni” ya BFSU kwa Urusi umefunguliwa kwenye mtandao. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Lugha cha Kitaifa cha Moscow Innara Guseynova, na Makamu Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian wamehudhuria ufunguzi huo.Kambi hiyo inafadhiliwa na Kituo cha Mawasiliano na Ushirikiano wa Lugha cha Wizara ya Elimu, Ofisi ya Taasisi ya Confucius ya BFSU p...
“Darasa la ukonfusia wa kimataifa na walimu wa utamaduni wa kichina la mwaka 2022”lililofadhiliwa na Shirikisho la Ukonfusia wa Kimataifa (ICA) pamoja na Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing (BFSU) limefunguliwa tarehe 18 Julai. Naibu mweny wa ICA Bw. Zhang Xuezhi, makamu mkuu wa BFSU Prof. Zhao Gang, wataalamu wa ndani na nje ya China na wanafunzi wa darasa hilo wamehudhuria ufunguzi h...
Mnamo tarehe 12 Julai, "Kongamano la Ngazi ya Juu la Elimu ya Lugha za Kigeni" lililoandaliwa na Kitivo cha Kiingereza cha BFSU na Shirika la Uchapishaji wa Ufundishaji na Utafiti wa Lugha za Kigeni (FLTRP) limefanyika kwenye mtandao. Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Sun Youzhong amehudhuria ufunguzi na kutoa hotuba.Prof. Diane Larsen-Freeman wa Chuo Kikuu cha Michigan, Prof. Matthew E....