Mnamo Novemba 10, mafunzo ya watu wanaojitolea wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing na Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Mwaka 2022 yamezinduliwa katika BFSU. Walimu na wanafunzi wanaojitolea wa BFSU karibu 500 wameshiriki kwenye uzinduzi huo.Mafunzo hayo yatakayoendelea kwa mwezi mmoja yataboresha uwezo na stadi za wanafunzi wanaojitolea wa BFSU kwa kiasi kikubwa. BFSU itatum...
Tarehe 19 Oktoba, Tamasha la Sita la Vijana wa China na Afrika limefanyika mjini Beijing. Vijana 45 wanaotoka nchi 44 za Afrika na wanafunzi 38 wa BFSU wamealikwa kushiriki kwenye tamasha hilo. Mwenyekiti wa Mfuko wa Song Qingling wa China Bw. Wang Jiarui, Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje Bw. Deng Li na Balozi wa Nigeria nchini China Bw.Baba Ahmad Jidda wametoa hotuba katika ufunguzi wa tama...
Tarehe 23 Oktoba, Kongamano la pili la Elimu Linganishi na Elimu ya Kimataifa limefanyika mjini Beijing.Katibu Mkuu wa Tume ya Kitaifa ya UNESCO Bw. Qin Changwei na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua walihudhuria kongamano hilo.Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua ametoa hotuba ya “Kuimarisha Ushiriki wa China katika Usimamzi wa Elimu ya Dunia”. Ameweka waz...
Mnamo Septemba 26, sherehe ya miaka 80 ya kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing (BFSU) ilifanyika. Rais Xi Jinping aliwaandikia maprofesa wakongwe barua akipongeza BFSU kutimiza miaka 80, na kutoa salamu za dhati kwa walimu, wanafunzi na wafanyakazi wote. Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu Bw. Zhong Denghua alisema kwamba tangu kuanzishwa kwa BFSU, imewatayarisha wanafunzi we...
Mnamo Septemba 7, sherehe ya kuwakaribisha wanafunzi wapya wa 2021 ilifanyika hapa Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing. Kwa ujumla, wanafunzi 3,400 wapya wamejiunga na chuo hiki na kuanza maisha yao mapya. Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Wu Hongbo, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua, Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Yang Dan, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Zhao ...
Septemba 3, kitabu kipya cha "Faharisi ya Dunia ya 2021" kimezinduliwa katika Shirika la Uchapishaji la Utafiti na Ufundishaji wa Lugha za Kigeni, BFSU. Kitabu hicho ni matunda ya kwanza ya mradi wa “Utazamaji Dunia kwa Kujenga Faharisi”unaoongozwa na mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan. Faharisi hizo zimejumuisha aina mbalimbali za faharisi kama vile“Faharisi ya Uwezo wa Tafsiri wa ...
Kuanzia tarehe 20 Julai hadi tarehe 7 Agosti, BFSU imefanya miradi kadhaa ya mawasiliano ya Daraja la Kichina la mwaka 2021 kupitia mtandao ikiwa in pamoja na Kambi ya Majira ya Joto ya "Immersion na Impression" mtandaoni kwa wanafunzi wa sekondari wa Ulaya, Kambi ya Majira ya Joto kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na kadhalika.Miradi ya mawasiliano ya Daraja la Kichina ya 2021 inajumuisha ujifunzaji...
Sherehe ya ufunguzi wa“Darasa la ukonfusia wa kimataifa na walimu wa utamaduni wa kichina la mwaka 2021”lililofadhiliwa na Shirikisho la Ukonfusia wa Kimataifa(ICA) pamoja na Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing(BFSU) ilifanyika mnamo tarehe 20 Julai mwaka huu. Katibu mkuu wa ICA Jia Deyong na makamu mkuu wa BFSU Zhao Gang walihudhuria sherehe hiyo. Darasa hilo la siku 13 litasomeshwa ...
Mnamo Julai 5, kikao cha ukuaji wa kozi za lugha za kiafrika kimefanya hapa chuoni na wanadiplomasia 15 kutoka nchi 8 za Afrika wakiwemo mabalozi wa Madagaska na Somalia wameshiriki katika kikao hicho. Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan amewakaribisha wageni waalikwa na kuongeza kuwa, lugha ni chombo cha mawasiliano na daraja la urafiki kati ya China na Afrika. Kikao hiki kimeandaliwa...