Balozi wa UAE atembelea BFSU
Mnamo tarehe 4 Mei, Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu nchini China Bw. Ali Obaid Al Dhaheri ametembelea Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua amekutana na Bw. Dhaheri na msafara wake. Wamejadilia...