Mnamo Februari 23, mkutano wa kuandalia mipango ya kazi ya muhula wa spring wa 2022 umefanyika hapa chuoni. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua, Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan na viongozi wengine wamehudhuria mkutano huo.
Kwa kuzingatia hali ya sasa ya kimataifa na ya ndani, Prof. Wang Dinghua ametoawito wa kutathmini fursa za maendeleo ya BFSU na kutoa mipango mipya ya kazi za muhula huo. Prof. Yang Dan ametoa ripoti ya namna ya kutoa huduma za kijamii kwa BFSU.