Mwanzo > Habari > Content

BFSU yaingia kwenye Orodha ya Vyuo Vikuu Vinavyopewa Kipaumbele

Updated: 2022-02-26

Mnamo Februari 14, Wizara ya Elimu, Wizara ya Fedha na Tume ya Maendeleo na Mageuzi ya Taifa zimetoa "Mapendekezo juu ya Kukuza Zaidi Ujenzi wa Vyuo Vikuu vya Hali ya Juu"kwa pamoja, na kutangaza orodha mpya ya ujenzi wa vyuo vikuu. Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing kimeingia tena katika orodha hiyoya awamu ya pili.