Mnamo Julai 5, Sherehe ya Uzinduzi wa Seminaya Kimataifa ya Siku za Joto ya mwaka 2021 ilifanyika kwa njia ya mtandao. Walimu 13 wa kigeni waliotoka ulimwenguni walijitambulisha kupitia matangazo ya moja kwa moja na video zilizorekodiwa. Mwaka huo, maprofesa 13 wamealikwa kutoa mafunzo ya fani zikiwemo isimu, sayansi ya kisiasa, sosholojia, uchumi, historia, mahusiano ya umma, maendeleo ya mae...
Mnamo Julai 2, Mahafali ya mwaka 2021 ya Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing yamefanyika hapa chuoni. Mwaka huu, wanafunzi 2,197 wametunukiwa shahada ya kwanza, wanafunzi 1,064 wametunukiwa shahada ya uzamili na wanafunzi 61 wametunukiwa shahada ya uzamivu. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua na Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Yang Dan waliwapa wahitimu pongezi na kuwatunuki...
Mkutano wa mwaka 2018 wa Taasisi za Confucius wenye kaulimbiu ya “Mfumo wa Uendeshaji wa Taasisi za Confucius na Ubora wa Ufundishaji” umefanyika katika chuo chetu tarehe 1, Desemba. Wajumbe 44 wa t...
Tarehe 4-5 Desemba, Mkutano wa 13 wa Taasisi za Confucius Duniani umefunguliwa na Naibu Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Baraza la Makao Makuu ya Taasisi za Confucius Bi. Sun Chunlan mjini Chengdu. Kaulim...
Aprili 18, Kituo cha Utafiti wa Bulgaria kimezinduliwa katika chuo chetu. Mkuu wa Chuo Prof. Peng Long na balozi wa Bulgaria nchini China Bw. Grigor Porozhanov wamehudhuria hafla ya uzinduzi huo na ku...
Sherehe ya kuwakaribisha wanafunzi wapya wa mwaka 2018 imefanyika Septemba 12, 2018. Mwaka huu wanafunzi 1,454 wa shahada ya kwanza, wanafunzi 1,071 wa shahada ya umahiri na shahada ya uzamivu, wanafu...
Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Peng Long amefanya ziara nchini Panama, Ecuador na Argentina kuanzia tarehe 13 hadi 21 Septemba. Katika ziara yake, Prof. Peng amevizuru Chuo Kikuu cha Panama, Chuo Kikuu cha ...
Septemba 27 asubuhi, Mwana Mfalme wa Denmark Frederik amefanya ziara katika chuo chetu akishuhudia uzinduzi wa Kituo cha Utafiti wa Denmark cha BFSU. Hii ni mara ya pili ya Frederik kuzuru chuo chetu....
Oktoba 10-18, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua alifanya ziara katika nchi za Urusi, Ufini na Uholanzi na kuvizuru Chuo Kikuu cha Lugha cha Moscow, Chuo Kikuu cha Herzen, Makavazi ...