Hivi majuzi, Wizara ya Elimu imetangaza orodha ya kwanza ya ofisi za kidijitali za ufundishaji na utafiti. Jumla ya ofisi 439 za kidijitali zimeingia katika orodha hiyo zikiwemo ofisi 5 za kidijitali za BFSU. Miongoni mwao, ofisi mbili zitashughulikia ufundishaji wa mitalaa na tatu zitajikita katika mageuzi ya ufundishaji.