Tarehe 15 Septemba, Chuo Kikuu cha BFSU kimeanzisha kozi ya Kitetum kwa mara ya kwanza nchini China. Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Zhao Gang, Mwambata wa Elimu wa Ubalozi wa Timor-Leste nchini China Bw. Rogério Paulo Chaves wamehudhuria ufunguzi wa darasa na kutoa hotuba kabla ya kipindi kuanza.
Tarehe 7 Septemba, Naibu Waziri wa Elimu wa Kenya Bi. Beatrice Muganda Inyangala na msafara wake wametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mwenyekiti wa Baraza la BFSU Prof. Wang Dinghua na Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Jia Wenjian wamekutana na wageni na kuzungumzia mawasiliano ya utamaduni na ushirikiano wa elimu. Prof. Wang Dinghua ameeleza matunda mapya ya BFSU katika usimamizi wa elimu ya dunia, maende...
Tarehe 5 Septemba, Kongamano la Umoja wa Vyuo Vikuu vya China na Afrika lenye mada ya “Maendeleo na Ushirikiano wa Elimu ya Juu kati ya China na Afrika katika Zama za Kidijitali” limefanyika katika Chuo Kikuu cha BFSU.. Naibu Waziri wa Elimu wa China Bw. Wu Yan, Waziri wa Elimu ya Juu, Sayansi na Uvumbuzi wa Teknolojia ya Jamhuri ya Kongo Bi. Delphine Edith Emmanuel Adouki, Mkurugenzi wa Chin...
Tarehe 25 Julai, Baraza la Saba la Raia wa China na Afrika na Baraza la Viongozi Vijana wa China na Afrika yamefanyika katika mji wa Changsha, mkoa wa Hunan. Viongozi, wakuu, wawakilishi zaidi ya 200 kutoka nchi zaidi ya 50 wameshiriki kwenye mkutano. Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Jia Wenjian na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha CPC wa BFSU Prof. Jia Dezhong wamehudhuria ufunguzi.Umoja wa Hudu...
Mpaka Agosti 2024, baada ya kuchapishwa kwa kitabu cha “Elimu ya Juu ya China: Uchunguzi na Utafiti”, vitabu vyote sita vilivyoandikwa na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Wang Dinghua vimechapishwa. Vitabu hivyo vilivyochapishwa na Shirika la Uchapishaji la Elimu ya Wananchi wa China ni pamoja na “Elimu ya Msingi ya China: Uchunguzi na Utafiti”, “Elimu ya Msingi ya Marekan...
Tarehe 29 Juni hadi 9 Julai, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Jia Dezhong ameongoza wajumbe kutembelea Ethiopia, Kenya na Tanzania. Wametembelea Chuo Kikuu cha Addis Ababa, Chuo Kikuu cha Nairobi, Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar na kufanya mazungumzo pamoja na wakuu wa vyuo husika.Zaidi ya hayo, Prof. Jia Dezhong na wajumbe wametembelea makampuni ya China kama vile CCECC, CHEC, CGTN A...
Tarehe 1 hadi 10 Julai, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Wang Dinghua ameongoza wajumbe kutembelea Ugiriki, Bulgaria na Romania. Wametembelea vyuo vikuu mbalimbali na mabalozi ya China katika nchi hizo. Pia wametembelea Kituo cha Utamaduni wa China cha Bulgaria, Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Sofia na Kampuni ya Usafirishaji wa COSCO, Bandari ya Piaerus (PPA) nchini Ugi...
Tarehe 28 Juni, mahafali ya mwaka 2024 yamefanyika na wanafunzi zaidi ya 2800 wametunukiwa vyeti. Balozi wa Malaysia nchini China Bw. Norman Muhamad, mhitimu wa mwaka 2008 wa idara ya sheria ya Chuo Bw. Zhang Tianyi, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Prof. Wang Dinghua, Mkuu wa Chuo Prof. Jia Wenjian na viongozi wengine wamehudhuria kwenye sherehe hiyo.Prof. Jia Wenjian ametoa hotuba kwa mada ya “K...
Tarehe 1 Julai, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Prof. William Anangisye ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Jia Wenjian na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Zhao Gang wamekutana na kuzungumza na mgeni huyo. Wamezungumzia ushirikiano katika kuendeleza utafiti wa pamoja, mawasiliano ya walimu na wanafunzi, machapisho ya majarida kwa pamoja na pande nyingine.Wanafunzi ...