Kuanzia tarehe 1 hadi 10 Desemba, Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan ameongoza wajumbe kutembelea Ethiopia, Madagaska na Tanzania. Wametembelea Chuo Kikuu cha Addis Ababa, Chuo Kikuu cha Antananarivo, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kutia saini makubaliano ya ushirikiano baada ya mazungumzo na wakuu wa vyuo husika. Zaidi ya hayo, Prof. Yang Dan na wajumbe wametembelea makampuni ya China...
Mnamo tarehe 18 Novemba, Kongamano la “Bazara: Swahili Studies Conference 2023” limefanyika katika London, Uingereza. Zaidi ya wasomi 50 wanaotoka nchi mbalimbali wameshiriki katika kongamano hilo.Mwanafunzi wa shahada ya uzamili wa BFSU Bw. Ding Ruilin ameshiriki katika kongamano hilo akiwasilisha ripoti inayochambua athari hasi za tafsiri kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili katika fasihi za ...
Kuanzia tarehe 9 hadi 17 Novemba, Mwenyekiti wa Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua ameongoza wajumbe kutembelea Argentina, Brazil na Costa Rica. Wametembelea vyuo vikuu mbalimbali katika nchi hizo na kusaini makubaliano ya ushirikiano ili kuimarisha ushirikiano wa elimu na utafiti, kuongeza ajira kwa wanafunzi na kuchunguza njia mpya ya kuendeleza Taasisi za Confucius. Pia wametembelea Ubalozi wa Ch...
Mnamo tarehe 23 Oktoba, Mkurugenzi Mkuu wa Zamani wa UNESCO Bi. Irina Bokova, ametembelea BFSU na kutoa hotuba yenye mada ya "Utamaduni na Utawala wa Ulimwengu". Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan amehudhuria mhadhara na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Zhao Gang ameendesha mhadhara huo.Bi. Bokova amefafanua uhusiano uliopo kati ya utamaduni na maendeleo endelevu akielezea uzoefu wa Umoja wa M...
Mnamo tarehe 17 Oktoba, Katibu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ya Kambodia Bw. Lau Vann ametembelea BFSU. Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan amekutana na Bw. Lau Vann na msafara wake, wamebadilishana mawazo juu ya mawasiliano na ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
Mnamo tarehe 17 Oktoba, Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan amekutana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kitaifa cha Ali Farabi cha Kazakhstan Bw. Tuimebayev Zhanseit Kanseituly katika Kongamano la Tatu la Ushirikiano wa Kimataifa wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Pande hizo mbili zimetia saini mkataba wa kupelekeana wanafunzi wa vyuo vikuu viwili.
Mnamo tarehe 17 Oktoba, Mke wa Rais wa Sri Lanka Prof. Maithree Wickremesinghe ametembelea BFSU na kutoa hotuba. Pia amekutana na walimu na wanafunzi zaidi ya 300 wanaotoka vitivo mbalimbali. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua amehudhuria sherehe hiyo na kutoa risala.
Mnamo tarehe 27 Septemba, Waziri waUchukuzi na Vyombo vya Habari na Msemaji wa Baraza la Mawaziri la Sri Lanka Bw. Bandula Gunawardena ametembelea BFSU. Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Jia Wenjian wamekutana na Bandula na ujumbe wake. Wamebadilishana mawazo juu ya kuendelea kuimarisha mawasiliano na ushirikiano katika mafunzo ya wanafunzi wa lugha ya Kisi...
Mnamo tarehe 26 Septemba, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Syria Bi. Asma al-Assad ametembelea BFSU na kutoa hotuba kwenye Ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kitivo cha Kiarabu. Pia amekutana na wawakilishi 40 kutoka balozi, vyuo vikuu na taasisi za utafiti. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Jia Wenjian amehudhuria hafla hiyo na kutoa risala.