Tarehe 14 hadi 15 Juni, mkutano wa sita wa Umoja wa MOOC (Massive Open Online Courses) ya Lugha za Kigeni wa Vyuo Vikuu vya China wenye kaulimbiu ya “Kuunganisha dunia na kujenga mustakabali kwa teknolojia” umefanyika katika Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa Umoja huo Prof. Wang Dinghua ametoa hotuba ya kazi. Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Habari na Mawasiliano cha Idara ya Mawasiliano ya Cham...
Tarehe 31 Mei, kikao cha kutekeleza “Mpango wa Ushirikiano wa Vyuo Vikuu Mia vya China na Afrika” kimefanyika katika Chuo Kikuu cha BFSU. Mwenyekiti wa Baraza la BFSU na Mkurugenzi wa “Mfumo wa Mawasiliano ya Umoja wa Vyuo Vikuu vya China na Afrika” Prof. Wang Dinghua, Naibu Mkuu wa Jumuiya ya Elimu ya Juu Bw. Zhang Daliang, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang Bw. Jia...
Tarehe 20 Mei, waziri wa elimu Bw. Andrei Ivanets ameongoza ujumbe kutembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian na Naibu Mkuu Prof. Zhao Gang wamekutana na wageni hawa. Pande hizo mbili zimezungumzia kuhusu mawasiliano ya utamaduni na ushirikiano wa elimu. Mkaguzi wa Idara ya Ushirikiano na Mawasiliano ya Kimataifa ya Wizara ya Elimu Bi. Xi Ru pia amehudhuria.Baada ya mazungum...
Tarehe 26 Aprili, Chama cha CPC Shina la Wizara ya Elimu limetangaza uteuzi katika Chuo Kikuu cha BFSU. Prof. Jia Wenjian ameteuliwa kuwa Mkuu wa BFSU na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha CPC wa Chuo Kikuu.Prof. Jia Wenjian, aliyezaliwa Juni, mwaka 1967, amekuwa mwanachama wa CPC na kupata shahada ya uzamivu. Alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha CPC Shina la BFSU na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu.
Tarehe 29 Aprili, Waziri wa Elimu, Spoti, Vijana, Utafiti na Ubunifu Bw. Clifton Grima ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian na Makamu Mkuu Prof. Zhao Gang wamekutana na wageni hawa.Bw. Grima ametoa hotuba yenye mada ya “Maendeleo ya Pande Zote ya Vijana”, na amejibu maswali ya walimu na wanafunzi kuhusu sifa za mifumo ya elimu ya juu ya Malta, uzinduzi wa vijana, el...
Kuanzia tarehe 8 hadi 17 Aprili, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Wang Dinghua ameongoza ujumbe wa chuo kutembelea Nepal, Vietnam na Indonesia. Wametembelea Chuo Kikuu cha Tribhuvan, Chuo Kikuu cha Kathmandu, Chuo Kikuu cha Sanskrit cha Nepal (Kathmandu), Chuo Kikuu cha Sheria cha Hanoi, Chuo Kikuu cha Biashara ya Nje cha Vietnam, Chuo Kikuu cha Sheria cha Hue na Chuo Kikuu cha...
Tarehe 30 Machi, Kamishna wa Kamati ya Ubunifu, Utafiti, Utamaduni, Elimu na Shughuli za Vijana ya Umoja wa Ulaya (EU) Bi. Iliana Ivanova ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Naibu Waziri wa Elimu Bw. Chen Jie, Mkuu wa Idara ya Ushirikiano na Mawasiliano ya Kimataifa Bw. Yang Dan, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Jia Wenjian wamejitokeza kumka...
Tarehe 15 Machi, Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Stony Brook(SBU) Bw. Carl W. Lejuez na msafara wake wametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Jia Wenjian wamekutana na wageni hawa.Wamezungumzia kuimarisha ushirikiano kati ya pande mbili katika kuendeleza elimu ya ushirika, kuandalia wanafunzi kwa pamoja, kuimarisha maw...
Tarehe 21 Machi, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Belarusian State(BSU) Bw. Andrei Korol na msafara wake wametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Jia Wenjian amekutana na wageni hawa. Pande hizo mbili zimefanya mazungumzo juu ya kuimarisha ushirikiano wa utafiti, mafunzo ya walimu, elimu ya masafa marefu na pande nyingine. Prof. Jia Wenjian amemtunukia Bw. Korol cheti cha ...