Language without Borders: China and Africa Shaping a New Narrative for the Global SouthResponding to Change - Eliminating Prejudice - Exploring Symbiosis30 June - 1 July 2025 | Beijing · Nairobi · KanoI. Theme of the ConferenceAgainst the backdrop of profound changes in the world landscape, the collective rise of the African continent and the Global South is reshaping the new order of the international ...
Tarehe 18 Machi, Balozi wa Cyprus nchini China Bi. Frances Lanitou ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Makamu Mkuu Prof. Zhao Gang amekutana na mgeni huyo na msafara wake. Pande hizo mbili zimefanya mazungumzo juu ya kuimarisha mawasiliano na ushirikiano.Bi. Lanitou amesifia mafanikio ya BFSU katika kutayarisha wanafunzi. Pia amesema ubalozi wa Cyprus nchini China utahimiza mawasiliano ya wanafunzi na ...
Tarehe 13 Machi, Balozi wa Ureno nchini China Bw. Paulo Nascimento ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian amekutana na mgeni huyo na msafara wake. Pande hizo mbili zimefanya mazungumzo juu ya kuimarisha mawasiliano na ushirikiano. Bw. Nacsimento amesifia mafanikio ya BFSU katika kufundisha na kutayarisha wanafunzi wa Kireno. Pia amesisitiza kwamba ubalozi wa Ureno nchini China ...
Tarehe 26 Februari, Kitivo cha Biashara ya Kimataifa cha BFSU kimepokea barua rasmi kutoka Jumuiya ya Wahitimu wa Kitivo cha Biashara ya Uingereza(BGA). Barua hii imetoa pongezi kwa Kitivo hicho ambacho kimetunukiwa ithibati ya BGA kwa miaka mitatu.Ithibati inayotolewa na BGA ni miongoni mwa ithibati tatu zenye kiwango cha juu duniani. Ithibati hiyo imeonesha kwamba BFSU imepiga hatua kubwa katika ...
Tarehe 26 Februari, Balozi wa Norway nchini China Bw. Vebjørn Dysvik ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa Chuo Prof. Jia Wenjian amekutana na mgeni huyo na msafara wake. Pande hizo mbili zimefanya mazungumzo juu ya kuimarisha mawasiliano na ushirikiano.Baada ya mazungumzo, Bw. Vebjørn Dysvik amekutana na wanafunzi wa kozi ya Kinorwei.
Tarehe 18 Februari, kikao cha kufungua muhula wa Spring wa 2025 kimefanyika BFSU. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua ameweka wazi matakwa matano ya kufanya kazi katika mwaka wa 2025. Mkuu wa Chuo Prof. Jia Wenjian ametoa hotuba yenye mada ya “Kukuza Maendeleo ya Kiwango cha Juu ya Chuo Kikuu Bora cha Lugha za Kigeni Duniani” na kupanga kazi kutoka pande saba. Kikao hiki kimesisitiza ...
Tarehe 30 Januari, sherehe ya mwaka mpya ya walimu wa kigeni imefanyika katika Chuo Kikuu cha BFSU. Walimu wote wa kigeni wa BFSU na familia zao, wawakilishi wa walimu na wanafunzi zaidi ya 100 wameshiriki sherehe hiyo. Makamu Mkuu Prof. Zhao Gang ametoa risala kwenye sherehe na kuwatakia heri na fanaka. Walimu wanne waliofundisha zaidi ya miaka 10 katika BFSU wametunukiwa tuzo. Prof. Charassri Jiraphas ...
Mnamo tarehe 17 hadi 18 Desemba, Kongamano la Nane la Kiswahili la Kimataifa limefanyika Pemba, Zanzibar. Zaidi ya wasomi 150 wanaotoka nchi 10 wameshiriki kwenye Kongamano hilo.Mwanafunzi wa shahada ya uzamili wa BFSU Bw. Qin Zulong ameshiriki Kongamano hilo akiwasilisha ripoti inayochambua makosa ya kisarufi ya wanafunzi wa Kiswahili wa China katika mchakato wa upatanishi.Qin amezungumza na wasomi ...
Kuanzia tarehe 14 hadi 23 Desemba, Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Jia Wenjian ameongoza ujumbe kutembelea Saudi Arabia, Misri na Algeria. Wajumbe hawa wametembelea Chuo Kikuu cha Mwana wa Mfalme Sultan na Chuo Kikuu cha Binti wa Mfalme Nourah Bint Abdulrahman nchini Saudi Arabia, Chuo Kikuu cha Ain Shams, Chuo Kikuu cha Badr nchini Misri na Chuo Kikuu cha Algiers III nchini Algeria kwa ajili ya ...