Mwanzo > Habari > Content

Mahafali ya mwaka 2024 Yafanyika

Updated: 2024-07-25

Tarehe 28 Juni, mahafali ya mwaka 2024 yamefanyika na wanafunzi zaidi ya 2800 wametunukiwa vyeti.

Balozi wa Malaysia nchini China Bw. Norman Muhamad, mhitimu wa mwaka 2008 wa idara ya sheria ya Chuo Bw. Zhang Tianyi, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Prof. Wang Dinghua, Mkuu wa Chuo Prof. Jia Wenjian na viongozi wengine wamehudhuria kwenye sherehe hiyo.

Prof. Jia Wenjian ametoa hotuba kwa mada ya Kujiimarisha na kukumbatia dunia na Prof. Wang Dinghua amewatunukia wakilishi wa wahitimu kadi za wahitimu.