Tarehe 1 hadi 10 Julai, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Wang Dinghua ameongoza wajumbe kutembelea Ugiriki, Bulgaria na Romania. Wametembelea vyuo vikuu mbalimbali na mabalozi ya China katika nchi hizo. Pia wametembelea Kituo cha Utamaduni wa China cha Bulgaria, Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Sofia na Kampuni ya Usafirishaji wa COSCO, Bandari ya Piaerus (PPA) nchini Ugiriki.