Mnamo tarehe 17 Oktoba, Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan amekutana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kitaifa cha Ali Farabi cha Kazakhstan Bw. Tuimebayev Zhanseit Kanseituly katika Kongamano la Tatu la Ushirikiano wa Kimataifa wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Pande hizo mbili zimetia saini mkataba wa kupelekeana wanafunzi wa vyuo vikuu viwili.
Mnamo tarehe 17 Oktoba, Mke wa Rais wa Sri Lanka Prof. Maithree Wickremesinghe ametembelea BFSU na kutoa hotuba. Pia amekutana na walimu na wanafunzi zaidi ya 300 wanaotoka vitivo mbalimbali. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua amehudhuria sherehe hiyo na kutoa risala.
Mnamo tarehe 27 Septemba, Waziri waUchukuzi na Vyombo vya Habari na Msemaji wa Baraza la Mawaziri la Sri Lanka Bw. Bandula Gunawardena ametembelea BFSU. Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Jia Wenjian wamekutana na Bandula na ujumbe wake. Wamebadilishana mawazo juu ya kuendelea kuimarisha mawasiliano na ushirikiano katika mafunzo ya wanafunzi wa lugha ya Kisi...
Mnamo tarehe 26 Septemba, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Syria Bi. Asma al-Assad ametembelea BFSU na kutoa hotuba kwenye Ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kitivo cha Kiarabu. Pia amekutana na wawakilishi 40 kutoka balozi, vyuo vikuu na taasisi za utafiti. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Jia Wenjian amehudhuria hafla hiyo na kutoa risala.
Mnamo tarehe 22 Septemba, Kongamano la Mawasiliano ya Kimataifa ya Utamaduni wa China limefanyika Beijing. Kongamano hilo liliandaliwa na Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing, Shirika la Uchapishaji wa Kimataifa la China na Taasisi ya Utamaduni wa China. Mada ya kongamano hili ni “Tekeleza Mipango ya Ustaarabu wa Kimataifa na Kukuza Maendeleo ya Ustaarabu wa Binadamu kwa Pamoja ”. Takri...
Mnamo Septemba 16, Kongamano la Ustaarabu wa Ulimwengu limefanyika katika Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing. Kaulimbiu ya kongamano ilikuwa “Kuwasiliana na Utamaduni wa Ulimwengu ili Kuongeza Uelewa wa Kimataifa”. Zaidi ya watu 600 kutoka serikalini, vyuo vikuu vya ndani na nje ya nchi, wataalamu, wanafunzi na walimu wa BFSU wameshiriki kongamano hilo. Kongamano hili linakusudia kush...
Mnamo Septemba 4, sherehe ya kuwakaribisha wanafunzi wapya wa 2023 imefanyika hapa Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing. Kwa ujumla, wanafunzi wapya 3,267 wamejiunga na chuo hiki na kuanza maisha mapya.Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua, Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan na aliyekuwa Naibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano ya Kimataifa ya Kamati Kuu ya Chama cha Ki...
Tarehe 31 Agosti 2023, Jumuiya ya Elimu ya Juu ya China (CAHE) na Jumuiya ya Vyuo Vikuu vya Afrika (AAU) zimezindua Sekretarieti ya China ya Umoja wa Vyuo Vikuu vya China na Afrika katika BFSU.Mkuu wa CAHE Bw. Du Yubo, Makamu Mkuu wa CAHE Bw. Zhang Daliang, Katibu Mkuu wa AAU Prof. Olusola Oyewole na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua wamehudhuria sherehe ya uzinduzi huo.Chin...
Tarehe 9 Agosti, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Stoney Brook cha Marekani Bw. Carl W. Lejuez na msafara wake wametembelea BFSU. Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan amefanya mazungumzo na wageni hawa. Wamejadiliana kwa kina juu ya kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali.