HOME > Habari > Content

Kitivo cha Biashara ya Kimataifa cha BFSU Chaidhinishwa na AACSB

Updated: 2023-08-23

Hivi majuzi, Shirikisho la Vyuo Bora vya Biashara ya Kimataifa (AACSB) limetangaza kwamba Kitivo cha Biashara ya Kimataifa ya BFSU kimepata idhini ya kimataifa ya AACSB yenye muda wa miaka mitano baada ya kupigiwa kura na Kamati ya Awali ya Ithibati na kukubaliwa na Baraza la Ithibati.