Hivi majuzi, jarida la Umoja wa Mataifa la UN Today limechapisha mahojiano na Mkuu wa BFSU Prof. Yang Dan kwa kichwa cha habari cha Reaffirming International Connections through Language.Katika mahojiano, Prof. Yang Dan ameeleza dhana na uzoefu wa BFSU wa kukuza mawasiliano ya kimataifa kupitia elimu ya lugha na huduma ya lugha, akabainisha mafanikio ya BFSU katika kukuza ushirikiano wa kimatai...
Hivi karibuni, Wizara ya Elimu imetangaza orodha ya washindi wa Tuzo ya Kitaifa ya Uchunguzi wa Elimu ya Juu, na miradi mitatu ya BFSU imeshinda tuzo hiyo.“Njia za BFSU za Kuwatayarishia Wanafunzi wa Lugha Mbalimbali Umahiri wa Kufanya Kazi Ulimwenguni” umepata tuzo daraja la kwanza. “Uchunguzi na Vitendo vya Njia ya Mafunzo kwa Wanafunzi wa Kozi la Kiingereza katika Enzi Mpya” umepata tu...
Mnamo tarehe 30 Juni, BFSU imefanya sherehe ya kuwasindikiza wanafunzi wanaotarajali katika nje ya nchi. Wageni wanaotoka mashirika mbalimbali yakiwemo Benki Kuu ya China, Wizara ya Elimu na kadhalika wamehudhuria sherehe hiyo.Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan ametoa hotuba yenye mada ya “Kutekeleza majukumu ya ulimwengu na kuonyesha taswira ya China”. Pia, walimu wengine wanaoongoza...
Kuanzia tarehe 6 hadi 15 Juni, Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan ameongoza ujumbe kutembelea vyuo vikuu na taasisi mbalimbali nchini Ufaransa, Uingereza na Uswisi. Wamejadiliana juu ya ushirikiano wa nyanja mbalimbali kati ya Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing na vyuo vikuu hivyo. Wametembelea ubalozi wa China nchini Ufaransa, ubalozi wa China nchini Uingereza na Ujumbe wa Kudu...
Mnamo tarehe 6 Juni, Mwenyekiti wa Chama cha SPD cha Ujerumani Bw. Lars Klingbeil ameongoza ujumbe kutembelea Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing (BFSU) na kutoa hotuba. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Jia Wenjian wamekutana na Klingbeil na msafara wake. Bw. Klingbeil ametoa hotuba yenye mada ya "The Changing World Order" na kujibu maswa...
Kuanzia Mei 21 hadi 30, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Wang Dinghua ameongoza ujumbe kutembelea Ubelgiji, Hungaria na Uhispania. Wametembelea vyuo vikuu, shule, Taasisi za Confucius na mashirika mbalimbali vya nchi tatu wakijadiliana juu ya miradi ya kushirikiana na kutilia saini mikataba ya kupokeana wanafunzi. Wametembelea balozi za China nchini Ubelgiji, Hungaria na Uhispa...
Kuanzia tarehe 19 hadi 21 May, Kongamano la Kiswahili la 35 lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Bayreuth limefanyika katika Bayreuth. Mada ya kongamano hilo ni “ ‘Mashujaa’ na Jitihada za Kufinyanga Upya Taaluma za Kiswahili”. Zaidi ya wasomi na wataalamu 50 wanaotoka nchi mbalimbali wameshiriki katika kongamano hilo.Mwanafunzi wa shahada ya uzamili wa BFSU Bw. Ding Ruilin ameshiriki katika ko...
Mnamo tarehe 23 Mei, “Jukwaa la Maendeleo ya Tibet ya China la 2023” limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Beijing. Kaulimbiu ya jukwaa hilo ni "Zama Mpya, Tibet Mpya na Safari Mpya". Jukwaa hilo limeandaliwa na Ofisi ya Habari ya Baraza la Serikali la China, Serikali ya mkoa unaojiendesha wa Tibet pamoja na Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing.Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang...
Mnamo tarehe 4 Mei, Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu nchini China Bw. Ali Obaid Al Dhaheri ametembelea Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua amekutana na Bw. Dhaheri na msafara wake. Wamejadiliana juu ya kuimarisha ushirikiano katika kupelekeana wanafunzi, mafunzo ya pamoja na mawasiliano ya kitaaluma. Baada ya mkutano, Bw. Dhaheri ...