HOME > Habari > Content

Msemaji wa Baraza la Mawaziri la Sri Lanka Atembelea BFSU

Updated: 2023-10-11

Mnamo tarehe 27 Septemba, Waziri waUchukuzi na Vyombo vya Habari na Msemaji wa Baraza la Mawaziri la Sri Lanka Bw. Bandula Gunawardena ametembelea BFSU. Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Jia Wenjian wamekutana na Bandula na ujumbe wake. Wamebadilishana mawazo juu ya kuendelea kuimarisha mawasiliano na ushirikiano katika mafunzo ya wanafunzi wa lugha ya Kisinhala na kupelekeana wanafunzi wa nchi mbili.