HOME > Habari > Content

Mke wa Rais wa Sri Lanka Atembelea BFSU

Updated: 2023-10-24

Mnamo tarehe 17 Oktoba, Mke wa Rais wa Sri Lanka Prof. Maithree Wickremesinghe ametembelea BFSU na kutoa hotuba. Pia amekutana na walimu na wanafunzi zaidi ya 300 wanaotoka vitivo mbalimbali. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua amehudhuria sherehe hiyo na kutoa risala.