Mwanzo > Habari > Content

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Stoney Brook Atembelea BFSU

Updated: 2023-08-23

Tarehe 9 Agosti, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Stoney Brook cha Marekani Bw. Carl W. Lejuez na msafara wake wametembelea BFSU. Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan amefanya mazungumzo na wageni hawa. Wamejadiliana kwa kina juu ya kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali.