Mwanzo > Habari > Content

Vitabu vya Kilaos Vilivyotafsiriwa na Walimu wa BFSU Vyatolewa

Updated: 2023-03-08

Tarehe 24 Februari, vitabu vipya vya "Mradi wa Kutafsiriana Maandishi Maarufu ya Nchi za Asia" vimetolewa katika ufunguzi wa Mkutano wa 35 wa Maagizo ya Vitabu uliofanyika kwenye Kituo cha Maonyesho cha Kimataifa mjini Beijing.

Miongoni mwa Vitabu hivi, The Life and Revolutionary Cause of Chairman Kaysone Phomvihane, The Two Sisters na The Legend of Khun Borom vilitafsiriwa na walimu wa Kilaos wa Kitivo cha Masomo ya Asia ambao ni Prof. Lu Yunlian, Prof. Li Xiaoyuan na Bi. Lu Huiling.