HOME > Habari > Content

Katibu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ya Kambodia ametembelea BFSU

Updated: 2023-10-24

Mnamo tarehe 17 Oktoba, Katibu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ya Kambodia Bw. Lau Vann ametembelea BFSU. Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan amekutana na Bw. Lau Vann na msafara wake, wamebadilishana mawazo juu ya mawasiliano na ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.