HOME > Habari > Content

BFSU na Chuo Kikuu cha Kitaifa cha Ali Farabi zatia saini mkataba

Updated: 2023-10-24

Mnamo tarehe 17 Oktoba, Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan amekutana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kitaifa cha Ali Farabi cha Kazakhstan Bw. Tuimebayev Zhanseit Kanseituly katika Kongamano la Tatu la Ushirikiano wa Kimataifa wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Pande hizo mbili zimetia saini mkataba wa kupelekeana wanafunzi wa vyuo vikuu viwili.