HOME > Habari > Content

Ding Ruilin Ashiriki Baraza la Kiswahili la 2023

Updated: 2023-12-16

Mnamo tarehe 18 Novemba, Kongamano la Bazara: Swahili Studies Conference 2023 limefanyika katika London, Uingereza. Zaidi ya wasomi 50 wanaotoka nchi mbalimbali wameshiriki katika kongamano hilo.

Mwanafunzi wa shahada ya uzamili wa BFSU Bw. Ding Ruilin ameshiriki katika kongamano hilo akiwasilisha ripoti inayochambua athari hasi za tafsiri kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili katika fasihi za Kiswahili.  

Kongamano hilo limezidisha mawasiliano kati ya Idara ya Kiswahili ya BFSU na taasisi za Kiswahili za kimataifa.