HOME > Habari > Content

Yang Dan Afanyiwa Mahojiano na UNtoday

Updated: 2023-08-05

Hivi majuzi, jarida la Umoja wa Mataifa la UN Today limechapisha mahojiano na Mkuu wa BFSU Prof. Yang Dan kwa kichwa cha habari cha Reaffirming International Connections through Language.

Katika mahojiano, Prof. Yang Dan ameeleza dhana na uzoefu wa BFSU wa kukuza mawasiliano ya kimataifa kupitia elimu ya lugha na huduma ya lugha, akabainisha mafanikio ya BFSU katika kukuza ushirikiano wa kimataifa katika elimu ya lugha za kigeni, na kujibu maswali juu ya changamoto na fursa zinazoletwa na teknolojia mpya kama vile akili bandia katika enzi mpya.