HOME > Habari > Content

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Latvia Atembelea BFSU

Updated: 2023-08-23

Tarehe 31 Julai, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Latvia Bw. Indriķis Muižnieks ametembelea BFSU. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua amekutana na Bw. Indriķis Muižnieks, na wamefanya mazungumzo juu ya kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na utafiti wa ufundishaji wa lugha, uchapishaji wa pamoja, uratibu wa makongamano ya kitaaluma na kadhalika.