HOME > Habari > Content

Miradi Mitatu ya BFSU Yapata Tuzo ya Elimu ya Juu ya Kitaifa

Updated: 2023-08-05

Hivi karibuni, Wizara ya Elimu imetangaza orodha ya washindi wa Tuzo ya Kitaifa ya Uchunguzi wa Elimu ya Juu, na miradi mitatu ya BFSU imeshinda tuzo hiyo.

“Njia za BFSU za Kuwatayarishia Wanafunzi wa Lugha Mbalimbali Umahiri wa Kufanya Kazi Ulimwenguni” umepata tuzo daraja la kwanza. “Uchunguzi na Vitendo vya Njia ya Mafunzo kwa Wanafunzi wa Kozi la Kiingereza katika Enzi Mpya” umepata tuzo daraja la pili na “Ujenzi wa Mfumo na Vitendo vya Kuandaa Wanafunzi wa Tafsiri za Lugha Nyingi Unaohudumia Mkakati wa Uenezi wa Kimataifa” umepata tuzo daraja la pili katika ngazi ya shahada ya uzamili.