Mwanzo > Habari > Content

Tovuti mpya 6 za lugha za kigeni zazinduliwa rasmi

Updated: 2022-10-06

Mnamo tarehe 25 Septemba, tovuti za lugha mbalimbali za Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing (BFSU) zimeboreshwa, na tovuti 6 za lugha za kigeni zikiwemo Kiarabu, Kifaransa, Kirusi, Kihispania, Kijerumani, na Kijapani zimezinduliwa rasmi.

Anwani za Tovuti Mpya za Lugha mbalimbali:

Kiingerezahttp://en.bfsu.edu.cn/

Kiarabuhttps://global.bfsu.edu.cn/ar/

Kifaransahttps://global.bfsu.edu.cn/fr/

Kirusihttps://global.bfsu.edu.cn/ru/

Kihispaniahttps://global.bfsu.edu.cn/es/

Kijerumanihttps://global.bfsu.edu.cn/de/

Kijapanihttps://global.bfsu.edu.cn/ja/