Mwanzo > Habari > Content

Mkutano wa Kuhitimisha maadhimisho ya miaka 80 ya BFSU wafanyika

Updated: 2021-12-12

Tarehe 8 Desemba, mkutano wa kuhitimisha maadhimisho ya miaka 80 ya BFSU umefanyika hapa chuoni. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua, Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof.Yang Dan, Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Jia Wenjian na viongozi wengine wamehudhuria mkutano huo.

Wafanyakazi waliotia fora katika maadhimisho ya miaka 80 ya BFSU wametunukiwa cheti cha heshima katika mkutano huo.