Tarehe 29 Agosti, Mkuu wa SOAS Prof. Adam Habib na msafara wake wametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua na Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Jia Wenjian wamekutana na wageni hawa. Pande hizo mbili zimetia saini mkataba wa ushirikiano wa kujenga skuli ya pamoja. Wageni hawa wametembelea makumbusho ya historia ya BFSU na shughuli za kuwapokea wanafunzi wapya wa ...
Tarehe 21 hadi 29 Agosti, mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Wang Dinghua ameongoza ujumbe kutembelea Iceland, Denmark na Uswidi. Wajumbe hawa wametembelea Chuo Kikuu cha Iceland na Taasisi yake ya Confucius, Chuo Kikuu cha Akureyri, Chuo Kikuu cha Aarhus, Chuo Kikuu cha Copenhagen, Chuo Kikuu cha Lund na Jumuiya ya Elimu ya Mawasiliano ya Nje ya Uswidi (Svenska Institutet).Wajumbe hao ...
Tarehe 31 Julai, kambi ya majira ya joto ya Daraja la Kichina ya 2025 imefunguliwa katika Chuo Kikuu cha BFSU. Naibu Katibu Mkuu wa CPC wa BFSU Prof. Jia Dezhong, naibu mkurugenzi wa Kituo cha Ushirikiano na Mawasiliano ya Lugha cha China na Nchi za Nje Bw. Liu Jianqing wamehudhuria na kutoa hotuba kwenye hafla ya ufunguzi. Walimu na wanafunzi 154 kutoka nchi 15 wameshiriki katika kambi hiyo. Kambi ...
Tarehe 26 Julai, mkuu wa mkoa wa Caltalunya unaojiendesha wa Uhispania Bw. Salvador Illa ameongoza ujumbe kutembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian amekutana na wageni hawa. Balozi wa Uhispania nchini China Bw. Marta Bentanzos amehudhuria pia. Pande hizo mbili zimezungumzia uhusiano wa China na Uhispania, utayarishaji wa wanafunzi, mawasiliano ya tamaduni, ushirikiano wa lugha ...
Tarehe 22 Juni hadi tarehe 1 Julai, mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Jia Wenjian ameongoza ujumbe kutembelea Rwanda, Uganda na Kenya. Wajumbe hawa wametembelea Chuo Kikuu cha Rwanda, Chuo Kikuu cha Makerere, Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Luyanzi, Kituo cha Uchunguzi wa Maendeleo cha Uganda, Chuo Kikuu cha Kenyatta na Chuo Kikuu cha Nairobi. Wajumbe hawa pia wametembelea balozi za China katika nchi ...
Tarehe 18 Juni, Naibu Waziri wa Elimu wa Malaysia Bw. Wong Kah Woh ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa Chuo Prof. Jia Wenjian na makamu mkuu Prof. Zhao Gang wamekutana na wageni hawa. Prof. Jia Wenjian ameeleza habari fupi za BFSU na matumaini ya BFSU ya kushirikiana na pande mbalimbali za Malaysia. Bw. Wong Kah Woh amesema kwamba, Wizara ya Elimu ya Malaysia inatilia maanani mawasiliano na BFSU,...
Tarehe 23 Juni, spika wa bunge la Thailand Bw. Wan Muhamad Noor Matha ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mwenyekiti wa Baraza la BFSU Prof. Wang Dinghua na makamu mkuu Prof. Zhao Gang wamekutana na wageni hawa. Prof. Wang Dinghua amesema kwamba, tangu kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia miaka 50 iliyopita, uhusiano wa China na Thailand umeendelea kuwa imara. Mawasiliano haya yamechangia kuzidisha maelewano ...
Utamaduni unakuzwa katika mawasiliano. Dunia yetu, inayokabiliwa na mabadiliko makubwa yasiyo na kifani katika miaka mia iliyopita, inahitaji kukuza mazungumzo na mawasiliano baina ya tamaduni tofauti. Video hizi za “Mawasiliano ya Tamaduni baina ya China na Dunia” zinadhamiria kuonyesha mawasiliano na mwingiliano wa tamaduni za China na nchi nyingine za dunia. Na wataalamu 12 wa nchi tofauti watatuongoza ...
Tarehe 2 hadi 6 Juni, mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Jia Wenjian ameongoza ujumbe kutembelea Brazil. Wajumbe hawa wamehudhuria Mazungumzo ya Wakuu wa Vyuo Vikuu vya China na Brazil na kutembelea ubalozi wa China nchini Brazil. Pia wametembelea Chuo Kikuu cha Umoja wa Amerika Kusini na serikali ya mji wa Foz do Iguaçu.Katika mazungumzo hayo, Prof. Jia Wenjian ametia saini makubaliano pamoja na Chuo ...