Tarehe 26 Julai, mkuu wa mkoa wa Caltalunya unaojiendesha wa Uhispania Bw. Salvador Illa ameongoza ujumbe kutembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian amekutana na wageni hawa. Balozi wa Uhispania nchini China Bw. Marta Bentanzos amehudhuria pia. Pande hizo mbili zimezungumzia uhusiano wa China na Uhispania, utayarishaji wa wanafunzi, mawasiliano ya tamaduni, ushirikiano wa lugha na masuala mengine.
