Utamaduni unakuzwa katika mawasiliano. Dunia yetu, inayokabiliwa na mabadiliko makubwa yasiyo na kifani katika miaka mia iliyopita, inahitaji kukuza mazungumzo na mawasiliano baina ya tamaduni tofauti. Video hizi za “Mawasiliano ya Tamaduni baina ya China na Dunia” zinadhamiria kuonyesha mawasiliano na mwingiliano wa tamaduni za China na nchi nyingine za dunia. Na wataalamu 12 wa nchi tofauti watatuongoza kusafiri katika tamaduni mbalimbali.
I
II
III
IV
V
VI
VII
VIII
IX
X