Mwanzo > Habari > Content

“Faharisi ya Dunia ya 2021”na faharisi nyingine zatolewa na BFSU

Updated: 2021-09-05

Septemba 3, kitabu kipya cha "Faharisi ya Dunia ya 2021" kimezinduliwa katika Shirika la Uchapishaji la Utafiti na Ufundishaji wa Lugha za Kigeni, BFSU. Kitabu hicho ni matunda ya kwanza ya mradi wa “Utazamaji Dunia kwa Kujenga Faharisi”unaoongozwa na mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan. Faharisi hizo zimejumuisha aina mbalimbali za faharisi kama vile“Faharisi ya Uwezo wa Tafsiri wa Kitaifa" na "Faharisi ya Uwezo wa Tafsiri wa Chuo Kikuu cha China" na zimetolewa kwa mara ya kwanza duniani.