Mkutano wa mwaka 2018 wa Taasisi za Confucius wenye kaulimbiu ya “Mfumo wa Uendeshaji wa Taasisi za Confucius na Ubora wa Ufundishaji” umefanyika katika chuo chetu tarehe 1, Desemba. Wajumbe 44 wa taasisi za Confucius za chuo chetu wamehudhuria mkutano huo.
