HOME > Habari > Content

“Kiti cha Msomi wa Utafiti wa Malaysia cha Sultani” Chazinduliwa

Updated: 2024-09-21

Tarehe 21 Septemba, sherehe ya kuzindua Kiti cha Msomi wa Utafiti wa Malaysia cha Sultani Ibrahim imefanyika. Mfalme wa Malaysia Ibrahim Sultan Iskandar ametia sahihi ya kuidhinisha. Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Jia Wenjian, Mkuu wa Idara ya Elimu ya Juu ya Malaysia Prof. Azlinda Azman, Balozi wa Malaysia nchini China Bw. Norman Muhamad, Waziri wa Usafiri wa Malaysia Bw. Loke Siew Fook na Waziri wa Makazi na Serikali za Mitaa wa Malaysia Bw. Nga Kor Ming wamehudhuria kwenye sherehe.