CHUO KIKUU CHA LUGHA

ZA KIGENI, BEIJING

Jumuiya ya Taaluma ya Utafiti wa Nchi na Maeneo ya China Yazinduliwa BFSU

发布时间:2022-11-06

Jumuiya ya Taaluma ya Utafiti wa Nchi na Maeneo ya China imezinduliwa katika BFSU mnamo tarehe 23 Oktoba 2022.

Taaluma ya Utafiti wa Nchi na Maeneo nitaaluma mpyainayojumuisha fanimbalimbali.BFSU na vyuo vikuu vingi kote nchini vimependekeza kuanzisha“Jumuiya ya Taaluma Utafiti wa Nchi na Maeneo”ili kusukuma mbele ujenzi na maendeleo yataaluma hiyo, na kujenga mfumo kamili wa elimu wenye sifa za Kichina.

Mkuu wa Chuo kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua, Makamu mkuu wa Chuo Prof. Jia Wenjian na viongozi wengine wamehudhuria mkutano. Viongozi na wasomi kutoka vyuo vikuu zaidi ya 30 vikiwemo Chuo Kikuu cha Peking, Chuo Kikuu cha Tsinghua, Chuo Kikuu cha Fudan na kadhalika wameshiriki katika mkutano huo kwenye mtandao.

Bw.Yu Hongjun,Bw.Liu Wei,Bw.Tan Fangzheng,Bw.Jia Peng,Prof.Wang Dinghua naProf.Yang Dan wamezindua "Jumuiya yaTaaluma ya Meneo na Mataifaya China"kwa pamoja.

Prof.Jia Wenjian ameongoza semina ya ujenzi wataalumayautafiti wa nchi na maeneo. Viongozinawataalamuwaliohudhuria mkutano huo wametoa hotubanakujadilianajuu ya ujenzi wa taaluma hiyo. Prof. Yang Dan ametoa hotuba yenye mada ya "Kuzindua Jumuiya ya Taaluma ya Utafiti wa Nchi na Maeneo ili kukabiliana na changamoto za maendeleo yake".

Viongozi wa serikali, walimu na wanafunzi kutoka vyuo vikuumbalimbaliwamehudhuria mkutano huo.

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

OFFICE FOR INTERNATIONAL EXCHANGE AND COOPERATION

OFFICE OF CONFUCIUS INSTITUTES

OFFICE FOR OVERSEAS STUDENTS AFFAIRS

GENERAL ADMINISTRATION OFFICE

Copyright@BFSU.Support by ITC