CHUO KIKUU CHA LUGHA

ZA KIGENI, BEIJING

DATA

2019年04月15日


Kuhusu BFSU

Kuanzishwa Mwaka 1941

Wanafunzi

5088 Wanaosoma Shahada Ya Kwanza

2119 Wanaosoma Shahada Ya Uzamili

440 Wanaosoma Shahada Ya Uzamivu

1326 Wanafunzi Wageni

51.4% Wanafunzi Wa Lugha Ndogo Ndogo Wanaoweza Kusomea Nchi Za Nje

Walimu

1255 Walimu Na Wafanyakazi

668 Jumla Ya Walimu

333 Wakiwemo Maprofesa 122 Na Maprofesa Washiriki 229

172 Wataalamu Kutoka Nchi 44

Ufundishaji

23 Vitivo Na Idara

97 Programu Za Shahada Ya Kwanza

10 Mitalaa Muhimu Ya Kitaifa

83 Programu Za Lugha

25 Lugha Zote Rasmi Za Umoja Wa Ulaya

10 Lugha Zote Rasmi Za Umoja Wa Nchi Za Asia Ya Kusini-Mashariki

25 Lugha Zinazofundishwa Na BFSU Pekee Nchini China

1:11 Urari Wa Walimu Kwa Wanafunzi

63 Programu Za Shahada Ya Uzamili

18 Programu Za Shahada Ya Uzamivu

1 Kituo Cha Utafiti Baada Ya Shahada Ya Uzamivu

Utafiti

1 Kituo Muhimu Cha Sanaa Na Sayansi Ya Jamii Cha Wizara Ya Elimu

41 Vituo Vya Utafiti Wa Kanda Na Nchi Vya Wizara Ya Elimu

1 Kituo Cha Utafiti Cha Baraza La Lugha La Taifa

1 Kituo Cha Utafiti Wa Falsafa Na Sayansi Ya Jamii Cha Beijing

4 Majarida Ya Kitaaluma Yamo Fahirisi Ya Nukuu Za Sayansi Ya Jamii

Ushirikiano Wa Kimataifa

22 Taasisi Za Confucius Duniani

441 Vyuo Vikuu Na Taasisi Zenye Ushirikiano Za Nchi Na Sehemu 88 Duniani

Kampasi

463 Eneo (Mita Za Mraba)

1,369 Elfu+ Vitabu Vinavyohifadhiwa Katika Maktaba (Vitabu Vya Lugha Za Kigeni Elfu 621)No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

OFFICE FOR INTERNATIONAL EXCHANGE AND COOPERATION

OFFICE OF CONFUCIUS INSTITUTES

OFFICE FOR OVERSEAS STUDENTS AFFAIRS

GENERAL ADMINISTRATION OFFICE

Copyright@BFSU.Support by ITC