CHUO KIKUU CHA LUGHA

ZA KIGENI, BEIJING

Ofisi Tano za Kidijitali za BFSU Zaidhinishwa na Wizara ya Elimu

发布时间:2022-03-18

Hivi majuzi, Wizara ya Elimu imetangaza orodha ya kwanza ya ofisi za kidijitali za ufundishaji na utafiti. Jumla ya ofisi 439 za kidijitali zimeingia katika orodha hiyo zikiwemo ofisi 5 za kidijitali za BFSU. Miongoni mwao, ofisi mbili zitashughulikia ufundishaji wa mitalaa na tatu zitajikita katika mageuzi ya ufundishaji.


No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

OFFICE FOR INTERNATIONAL EXCHANGE AND COOPERATION

OFFICE OF CONFUCIUS INSTITUTES

OFFICE FOR OVERSEAS STUDENTS AFFAIRS

GENERAL ADMINISTRATION OFFICE

Copyright@BFSU.Support by ITC