CHUO KIKUU CHA LUGHA

ZA KIGENI, BEIJING

Semina ya Kimataifa ya Siku za Joto ya mwaka 2021 Yaanza

发布时间:2021-07-06

Mnamo Julai 5, Sherehe ya Uzinduzi wa Seminaya Kimataifa ya Siku za Joto ya mwaka 2021 ilifanyika kwa njia ya mtandao. Walimu 13 wa kigeni waliotoka ulimwenguni walijitambulisha kupitia matangazo ya moja kwa moja na video zilizorekodiwa. Mwaka huo, maprofesa 13 wamealikwa kutoa mafunzo ya fani zikiwemo isimu, sayansi ya kisiasa, sosholojia, uchumi, historia, mahusiano ya umma, maendeleo ya maeneo, masomo ya mawasiliano, fasihi na sanaa. Kwa ujumla, wanafunzi 181 wamejiunga na semina ya mwaka huo.



No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

OFFICE FOR INTERNATIONAL EXCHANGE AND COOPERATION

OFFICE OF CONFUCIUS INSTITUTES

OFFICE FOR OVERSEAS STUDENTS AFFAIRS

GENERAL ADMINISTRATION OFFICE

Copyright@BFSU.Support by ITC