CHUO KIKUU CHA LUGHA

ZA KIGENI, BEIJING

Mahafali ya mwaka 2021 Yafanyika BFSU

发布时间:2021-07-04

Mnamo Julai 2, Mahafali ya mwaka 2021 ya Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing yamefanyika hapa chuoni. Mwaka huu, wanafunzi 2,197 wametunukiwa shahada ya kwanza, wanafunzi 1,064 wametunukiwa shahada ya uzamili na wanafunzi 61 wametunukiwa shahada ya uzamivu. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua na Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Yang Dan waliwapa wahitimu pongezi na kuwatunukia cheti chao.


No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

OFFICE FOR INTERNATIONAL EXCHANGE AND COOPERATION

OFFICE OF CONFUCIUS INSTITUTES

OFFICE FOR OVERSEAS STUDENTS AFFAIRS

GENERAL ADMINISTRATION OFFICE

Copyright@BFSU.Support by ITC