CHUO KIKUU CHA LUGHA

ZA KIGENI, BEIJING

Karibuni Wanafunzi Wapya wa 2018

Sherehe ya kuwakaribisha wanafunzi wapya wa mwaka 2018 imefanyika Septemba 12, 2018. Mwaka huu wanafunzi 1,454 wa shahada ya kwanza, wanafunzi 1,071 wa shahada ya umahiri na shahada ya uzamivu, wanafunzi 20 wa maandalizi ya masomo ya chuo kikuu na wanafunzi wageni wamejiunga na Chuo Kikuu cha BFSU.

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

OFFICE FOR INTERNATIONAL EXCHANGE AND COOPERATION

OFFICE OF CONFUCIUS INSTITUTES

OFFICE FOR OVERSEAS STUDENTS AFFAIRS

GENERAL ADMINISTRATION OFFICE

Copyright@BFSU.Support by ITC