Tarehe 5 hadi 6 Septemba, mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Jia Wenjian amehudhuria kwenye sherehe ya kuwakaribisha wanafunzi wapya wa Kituo cha Uvumbuzi wa Utayarishaji wa Wazamivu wa China-Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai mjini Harbin. Naibu Waziri wa Elimu wa China Bw. Wu Yan, Naibu Mkuu wa Mkoa wa Heilongjiang Bw. Sui Hongbo, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Teknolojia cha Belarusi Prof. Kharitonchik Sergey wamehudhuria sherehe hiyo.
Prof. Jia Wenjian ametoa hotuba kwenye sherehe hiyo ya uzinduzi.
